• 31
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0
0 commentaires
    Aucun commentaire trouvé
La description

In ‘Bayana’, Marleen Xplastaz wants her better half to lay all his cards on the table as already they are intimately involved and have been throught it all already, the ups and downs of those intimate beginnings; the rough and tumble coupled with smooth sailing occurrences in a relationship.
. She asserts her willingness to take things to the next level and that he shouldn’t keep her waiting as it would be akin to torturing her with uncertainties.
Nevertheless, she still appreciates and is in need of his physical and mental attention and dedication.

Paroles

Intro
Marleena!
Umoja Sounds

Verse1
Salaam nakusalimia,
Tena si kwa ubaya
Chunga usije mi nikaripia,
Mwenzako vishaumana
Salaam nakusalimia,
Tena si kwa ubaya,
Chunga usije mi nikaripia
Mwenzako vishaumana aaah

Pre - Chorus
Baby ni we unanisatisfy,
Ushaninyonga mi kama tai
Kwako mi sifai hiiiihhh

Chorus
Usinilize mtoto,
Mwenzako sina hiyana
Usije nipa kisogo,
Basi niweke bayana
Aaaaahhhh aaaawwwhhh aayeah
Bayanaa yanaaaa yeh

1, 2, 3, baby let me know what’s up

Verse 2
Yo ma honey bunny,
Njoo nikupeleke nyumbani,
You’re ma sweetest taboo ooooh oooh oooh
Umeniweka roho juu uuuh uuuuh uuuh

Pre - Chorus
Baby ni we unanisatisfy,
Ushaninyonga mi kama tai,
Kwako mi sifaii hiiiiiiiihhhhh

Chorus
Usinilize mtoto,
Mwenzako sina hiyana,
Usijenipa kisogo,
Basi niweke bayanaa
Bayanaa bayanaaa

1, 2, 3, baby let me know what’s up

Bridge
Baby niokote, nishike
Nishike mahaga,
Nisokote
Ah nipe mautamu,
Nivute
Nipe mahaba, nipe yote
Baby niokote, nishike
Nishike mahaga nisokote
Ah nipe mautamu, nivute,
Nipe mahaba, nipe yote

Marleena!

Chorus
Usinilize mtoto,
Mwenzako sina hiyana,
Usijenipa kisogo,
Basi niweke bayanaa
Aaaaaaah aaawwww naah yeh
Bayanaa bayanaa

Outro
You’re ma baby boo
You’re ma baby boo

::
/ ::

Queue